Hivi utajuaje una low sperm count? Nimetokea kufuatwa na mdogo wangu wa kiume na kunieleza swala moja, ya kuwa siku mojamoja akiamka asubuhi na anapokojoa anakojoa kitu cheupe kwanza, then mkojo wa kawaida....! Kwa maelezo yake hii humtokea mara nyingi kama hakulala na mwanamke, na hakuna maumivu yeyote anayoyapata kwa hali hii....! Tafadhalini, tumsaidie, iwapo kuna mtu aliwahi kukumbwa na hali hii, na hali hii ni tatizo? Husababishwa na nini?