Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawapongeza wanigeria kwa chat up lines zao ,inasadikiwa huko ulaya na Marekani wengi wao wanapeta na wasichana kutoka Bongo ,baada ya kuona hii clip najiuliza hivi ndivyo wanavyo wazowa wasichana wa kibongo?