Muulizaji siku zote ni kujua ndio dhumuni, pale tu mtu mjuzi anapotoa jibu pengine linakuwa msaada kwa wengine kupata kujua. Tatizo mtu ana judge kwa kutumia level yake ya akil kwa mtu mwingine…hapo unakuwa umechanganya pilipili na tende kutengeneza achali.