How to read other's mind

Wild fauna

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Posts
461
Reaction score
189
Salaam wana jamvi,
Nilikua naomba kujuzwa,

What are the techniques which i can use to read other's mind.

====
 
Chukua kioo jiangalie ukigundua kitu flan itakuwa rahisi to read other pipoz mind
 
kuwa makini sana katika kusikiliza na kumtazama huyo unayetaka kuread mind yake. angalia kila kitu anachofanya katika mwili wake body huongea mambo mengi ambayo hayatoki mdomoni.

ukianza na hilo na ukalimudu utakuwa on the way to read other people minds.
otherwise wengine ni vipawa walivyozaliwa navyo
 
hata hivyo wataalamu wanasema asilimia 7 ya mawasiliano hufanyika kwa kuongea 55 ni mambo ya mtu ambayo unaweza kuyaona pasipo kuongea wala kuandika na wakati mwingine huyo anayefanya asijue kama anafanya mambo hayo. tafuta how to know people well through their body language itakusaidia
 
body language inaonyesha what one is thinking? Au how one is feeling?
 
body language inaonyesha what one is thinking? Au how one is feeling?

both.
through body language unaweza kabisa kujua huyu sasa anawaza nini au anafeel nini.?

kiongozi hapa labda tungeanza na what is mind and states of mind tukijua hilo utakubali kuwa mtu anaweza akajua what is on other peopel's mind.

na body language is more that smiling and looking sad it is more than that even how you talk tones, what you put on and how you put it on is body language.

every thing you do can tell something about your mind
 
reading other people's mind is possible
ukimkuta mtu analia mfano cant you tell huyo mtu hayuko sawa kwa kusema hivyo tu umeshamread state of mind yake kwamba kuna kinachomsumbua yet to know exactly what but if you stay longer and observe u may know
 
yes, i know body language comprises all those.The question is complicated. When we're talking Huwezi kujua that i'm thinking 'where am i going to get money to pay my debts'. But you can tell i'm thinking 'ananiamini kweli'? au u can?Anyways i'm not an expert. Tell us how do u define 'mind' na 'state of mind'.
 
reading other people's mind is possible ukimkuta mtu analia mfano cant you tell huyo mtu hayuko sawa kwa kusema hivyo tu umeshamread state of mind yake kwamba kuna kinachomsumbua yet to know exactly what but if you stay longer and observe u may know
kwani Wild Fauna alivyouliza how can i read someone's mind alimaanisha nini? What came to my head ni kwamba anauliza how can u be totaly aware of what one is thinking, everything. Kind of supernatural like psychics claim. Thats why i said u cant do that. Lakini kwa mfano uliotoa wewe, is that mind reading?
 
ok, i got this definition on psychology today, mind reading is is the seemingly magical ability to map someone's mental terrain from their words, emotions and body language.
I was thinking more of Telepathy, the transfer of information between individuals by means other than the five senses. 😛

Wild Fauna ulikuwa unaongelea ipi?
 
Salam wana jamvi,
nilikua naomba kujuzwa,what are the techniques which i can use to read other's mind.
unaweza kutofautisha straight na gay? Tom Boy na Demu wa kawaida? If yes, tayari unapakuanzia...reading other people mind ni somo pana linalojengwa kwa muda mrefu; kwanza unatakiwa uwe na uvumilivu wa kusikiliza bila ya kuingilia lakini unamuonesha kupitia paji lako la uso kuwa mko pamoja! unaweza kuona mabadiliko ya paji la uso zikiashiria furaha, huzuni, unaweza kuona kope za macho zinavyopepesa kwa kutojiamini, unaweza sikia pua ikitoa kemikali (Advanced) unaweza kuona vuganja vya mkono vikijieleza! hata miguu unaweza kuona vikiashiria jambo fulani! Mwili unaongea! ngoja ni kuulize swali kabla ya kuendelea ....unajuaje kuwa mpenzi wako amekaribia kufika kileleni?
 
give us reason

well depends which mind reading Wild Fauna alikuwa anaongelea. Hiyo inayotegemea kuangalia body language,words na emotions (ambayo nimeisoma kwenye psychology today, itaitwa pia emphatic accuracy), is NORMAL (atlseast kwangu). Kilamtu ana uwezo nayo, naona kuiita 'mind reading', u make it sound so 'extraordinary'.

But kama ni telepathy, yaani mindreadimg ya bila kuhusisha the five senses, then i dont 'beleive' it. Because kwanza sijaexperience. Pili sijawahi kusikia from a reliable source ikitokea (nasoma tu kwenye forums watu wanasema at 'some point' they could read minds na ukiona wanavoelezea unaona ni obvious wanaongelea emphatic accuracy na sio telepathy)

tatu, the only 'reliable source' ambapo nimeona habari ya telepathy, ni experiment iliyofanywa kutumia panya! Waliweka 'microchips' kwenye ubongo, mmoja akiwa Marekani, mwingine Brazil. Kisha wakawa wanawapa puzzles flani kuona kama wanacommunicate. Na to some great degree, kweli walikuwa wanacommunicate. So telepathy could be possible, BUT BY USING ELECTRICITY! Lol, tusije tukaanza kutembea na wire vichwani ili tusomane akili

lakini na nne, nisiwe biased, watu wenye imani hizo, wanatumia knowlege za physics, kwamba everything vibrates so ukiweza kwenda na vibration ya ubongo wa mwenzako, you can 'communicate'. EXTRAORDINARY ISN'T IT?
 
Hicho nikipaji na tumeumbwa tofauti

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Wanajamvi sorry kwa kupotea kwa muda na kushndwa kujibu yale maswali mliyokua mnaniuliza ili niwe specific zaidi kuhusu nilichopenda kujua jinsi ya kumsoma mtu on what he/she thnking.

Mimi ni mkrito and i love jesus always, sasa kilichonisukuma kuuliza hlo swali ni baada ya kuona awesome ability from the christ kwa jinsi alivyokua akijua wanafunzi wake wanafikiri au wanataka kumuuliza basi yeye anawajibu kabla. Pia huwa naskia waganga wanaweza kukwambia mambo yako yote, i knw its supernatural power play its role. Sasa Je? Ni njia zipi za kuweza kutumia ili kuwa na uwezo huo mbali na hii njia ya "maombi"?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…