How to Recognize A Good Woman

Namna ya kumtambua mwanamke mzuri ni uwezo wake wa kunywa ze laga na kulewa bila kuanza kutingisha miguu!Huyo atakuwa anafaa! Lol
 
mmh jana we were home sweet home, mbona hukuja na tulikukaribisha weye??
sasa mpaka pasaka hiyo ndo utapata invitation tena....hapo na mabo yatakuwa yamenyooka i hope
ok i hope so,ngoja nivae gloves zangu kabisa
 
hii imetulia. i hope wale wanaojiandaa kuoa wamepata somo la kijufunza
 
Thi's nice!

Wanawake tunazidi kuwa juu!
 
ofcouse we do love you pple alot,but u just dissapoint us now and then,u just play with our feelings and emotions,but mind u time will tell coz we a lady says"AM FED UP"she means it,We CAN LIVE WITHOUT.[QUOTE=gkundi;794011]Sure thing..............and you love them men right? I mean, really, you cannot tell when the Mr Right will turn chilly do you?[/QUOTE]
 
kwani hujasoma hapa?[A good woman is proud. She respects herself and others. so she can neva do wat u said she can

QUOTE=Juma Contena;793851]FOR MEN ONLY

she can have all the above qualities, lakini experience tells akiwa na tamaa hujue hana maana. Na kama akuhurumi au kuonyesha concerns its time you looked elsewhere.[/QUOTE]
 
Namna ya kumtambua mwanamke mzuri ni uwezo wake wa kunywa ze laga na kulewa bila kuanza kutingisha miguu!Huyo atakuwa anafaa! Lol

hahahaah hapa Ndahani umeniacha hoi..ni wewe kweli au kuna mtu alikuwa anachezea keyboard yako
 
mamy si kama mtu likuwa anacezea keyboad,but si unajua kila mtu ana choise yake?maybe hiyo ni mke anaempenda yy au?
hahahaah hapa Ndahani umeniacha hoi..ni wewe kweli au kuna mtu alikuwa anachezea keyboard yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…