How To Satisfy A Woman..

Yaani haumuamini mkemia mkuu wa serikali? Hii post yako inaweza ikasababisha TZ kuzuiliwa misaada. Edit
Kwa hali hiyo ongea basi na PAW na mimi nipewe U-PREMIUM MEMBER basi kwenye kura za maoni za wewe kuwa MOD wa Jukwaa La Jokes sitakuangusha
 
Kwa hali hiyo ongea basi na PAW na mimi nipewe U-PREMIUM MEMBER basi kwenye kura za maoni za wewe kuwa MOD wa Jukwaa La Jokes sitakuangusha
Mobile ya PAW imeibiwa, anakichanga hata cafe haendi, acha nitume ujumbe keriofu.
 
Dunia ya leo ukisubiri kuridhishwa mbona utasubiri saaana, cha msingi mwanamke au mwanaume jitambue wewe ni nani na unataka nini kwenye haya maisha then ujiridhishe mwenyewe sio kusubiri cjui kina nani huko wallahi utasubiri mpaka mwisho wa dunia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…