How To Satisfy A Woman..

Satisfaction varies to different women.. Mwengine anaridhika mwengine hata iweje haridhiki. Hivyo huwezi kusema wote hatuwi satisfied!

Ni pair ngapi za viatu zitaku-satisfy?......
 
Satisfaction varies to different women.. Mwengine anaridhika mwengine hata iweje haridhiki. Hivyo huwezi kusema wote hatuwi satisfied!
Hili neno! Na zaidi ya kuwa kuridhika kunatafautiana miongoni mwa wanawake (na wanaume), vile vile kuna aina tafauti za vitu vinavyowafanya watu waridhike. Wakati mmoja anaweza kuridhika na maneno matamu tu, mwengine akaridhika na kuona yeye na watoto wanakula, wanavaa, wanasoma, wanatibiwa...Mwengine akaridhika na vyote au asiridhike na hata kimoja.... Ukiachia mbali kuridhishana ambako nako huyumbisha ndoa nyingi, ama kwa sababu haridhishwi kweli kweli au hata afanyiwe nini haridhiki. (Again, I refer to both).
 
Thank you for this nice article, doing little does count and i pray it exercised amongst men be creative and spontaneous.
 
And if i may ask TF are you married??
 
If there is anything in this world that can satisfy a woman is her own selfishness
 
Ukitaka kujinyonga we jaribu kumpa "eva" huo uhuru usio na mipaka..
 
If there is anything in this world that can satisfy a woman is her own selfishness
in which aspect specifically,coz generally hakuna binadamu anayejitosheleza mwenyewe..
 
Inaonyesha hilo la kujitambua kwa akina dada wengi ni tatizo walilotoka nalo huko kwa wazazi,sasa inakuwa ni vigumu "kujitambua"akiwa kwa mumewe hata umpe hyo fursa anaweza aka take for granted..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…