How To Satisfy A Woman..

Mbu unaweza kutimiza matakwa yote na usimridhishe na vile vile neno "Kumridhisha" ni pana na lina maana tofauti hapo ndipo shughuli ilipo sasa, ila nilikusudia "kumridhisha"

...lol, haina shida bana....kimtazamo wangu ni mpaka pale mw'mke mwenyewe atapojiridhisha na kuridhika
ndipo napoweza jivisha taji la kum satisfy mw'mke.
 
...lol, haina shida bana....kimtazamo wangu ni mpaka pale mw'mke mwenyewe atapojiridhisha na kuridhika
ndipo napoweza jivisha taji la kum satisfy mw'mke.
It makes sense mkuu...
 
Reactions: Mbu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…