How To Satisfy A Woman..

Sisi watu wa Mungu huwa tunaongea kwa mifano.
Kumsatisfy mwanamke ni sawa na kugombea Urais kupitia chama cha UPDP. Utabaki na kura yako tu, Hata waifu wako atapigia chadema au ccm.
Mnaombwa kuheshim kauli ya lawyer
 
duh! Sawa.
 
Just buy a car 4 her
....and wait for complains about color, model, year, suspension, fuel, carpets, speed, balance, service and repairs, side mirror, etc.
 
Reactions: GY
Sisi watu wa Mungu huwa tunaongea kwa mifano.
Kumsatisfy mwanamke ni sawa na kugombea Urais kupitia chama cha UPDP. Utabaki na kura yako tu, Hata waifu wako atapigia chadema au ccm.
Mnaombwa kuheshim kauli ya lawyer
Kamanda ... If my memory is correct, you promised not to give such strong analogues when it come facts! I am pursuing legal advice ASAP
 
Kamanda ... I memory is correct, you promised not to give such strong analogues when it come facts! I am pursuing legal advice ASAP
Kamanda ukiniona kama hivi ujue mamaake amenikausha wallet mwanzo wa mwezi. Huu sjui ndo ubavu wa pili au mfupa wa pili? khaa!
 
Mapenzi ya kwenye video hayo
 
aisee.... hiyo itakua appendix ya pili mkuu, inauma balaa:rant::rant::rant:
Appendix ya pili itakuwa noma mazee, labda tutahitaji kufanya extra check up halafu Klorokwin simwamini sana si unajua tena watu wa Tandale..
 
Appendix ya pili itakuwa noma mazee, labda tutahitaji kufanya extra check up halafu Klorokwin simwamini sana si unajua tena watu wa Tandale..
Yaani haumuamini mkemia mkuu wa serikali? Hii post yako inaweza ikasababisha TZ kuzuiliwa misaada. Edit
 
hehehehe! Chenkyuuu.
Nilitaka kuisibitishia hii sredi kwamba kuna warembo wachache hapa duniani wanakuwa satisfied na maneno matamu na ugentleman/tabia za mtu tu. Si umeona? (hapa nimepamba CV lako natarajia rushwa)
Lucky ..........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…