How to seduce a woman in 5 minutes..

hivi kwa hali ilivyo leo kuna hata haja ya wanaume kufundishana jinsi ya kumseduce mwanamke!maana wanawake wenyewe wa kileo wanajiseducisha.kaazi kwei kwei.

Siku zote mwanamke uanza kwa ishara halafu mwanaume anamalizia. Cha msingi mwanaume kuwa mwepesi kugundua hizo ishara mapema kabisa/ Pili 5 minutes sio kweli huyo atakuwa changu maanake wanawake hawakubali game bila kujiweka sawa - usafi kwanza. Yaani umekutana naye kariakoo, jua kali halafu akupe, sidhani; labda kama ni coincidence - yuko safi lakini bado ni issue.

Kuna story: mwanamke akienda kwa mwanaume siku ya kwanza anaenda na rafiki yake, wakitoka out mara ya pili anaenda na rafiki yake, mara ya tatu anamtoroka rafiki yake!!!!!!!! Angalia muda huo. Labda unaongelea culture za watu wengine lakini Bongo hamna. Kwanza mwanamke akisema NO ujue ndio YES.
 
Rev Masanilo, hebu nambie hilo kanisa lako unaliendeshaje iwapo mwamini wa kike anakuja apate mashauri ya ndoa kwako??? dk 5 ushamalizana naye kumshauri kivitendo lol!!!

Kanisa hili la Masanilo Evangelical Church unaweza li"google" Kwa hisani ya watu wa Marekani waweza niPM
 
habari wanajamii
mi naona tujifunze namna ya kuwakataa na si vinginevyo?
chao
 
habari wanajamii
mi naona tujifunze namna ya kuwakataa na si vinginevyo?
chao

Kukataana ili iweje? Unadhani kuna maisha duniani bila hayo mambo?

Jaribu kuwakataa wewe uone kama hujaanza kuokota makopo kesho!
 
Aaah! bwana umevujisha siri za kambi kwa wapinzani............................
 
Nadhani Mr. President ungefundisha namna ya kukataa tabia ya kulala na malaya.....hata ingekuwaje mwanamme au mwanamke anaye kubali kwenda kulala baada ya kutongozwa kwa mda wa dakika tano lazima awe prostitute.......noma sana nikikamatwa namke wangu nosoma hii posti uaminifu wake kwangu unaweza kuwa kwenye doubt...hii ni soo!!
 
napingana na wewe kabisa,hiyo niliyobold labda changu ndio atafurahia coz atajua buzi limeiva kwa kuchuna.
hata hivyo ningekushauri uongeze muda,dk tano zinafanya hadithi iwe ya kufikirika.

Jamani kweli sasa tuna stress za uchaguzi, haya asante kwa kutuonyesha ufundi wa "kutangoza" sorry kutangaza,, Unastahili PhD ya heshima
 
what a rubish, anoavyo nafsini mwake ndivyo alivyo! hivi wewe unawaza tuu sex? huna mchango mzuri wa mmawazo namna ya kututoa watnzania kwenye umaskini? unatuambia namna ya kutongoza? umekufa, a walking corpse! sorry for such strong language!!!

Thanks, how did you come in this world?
 
habari wanajamii
mi naona tujifunze namna ya kuwakataa na si vinginevyo?
chao

If Adam is alive today ungemwuliza, why God made a woman ?, it is nature huwezi kuwakataa, one for u, labda ww kilema au hujampata wako
 

Iam sorry any way, utandawazi chagua lipi nzuri ondoka nalo, baya kimbia, acha, thanks
 
what a rubish, anoavyo nafsini mwake ndivyo alivyo! hivi wewe unawaza tuu sex? huna mchango mzuri wa mmawazo namna ya kututoa watnzania kwenye umaskini? unatuambia namna ya kutongoza? umekufa, a walking corpse! sorry for such strong language!!!

Ndugu yangu mbona una hasira. JF inavipengele vingi sana. Hili ni eneo la kujadili mambo ya mapenzi. kama hupendi mambo ya mapenzi basi ingia kwenye vipengele vya Siasa, Uchumi etc.
 
MJ1 hata RICHMOND wali-sign contract si walijua hilo lakini? habari za subuhi?
 

No.5 =uwongo mtakatifu
No.6= hapo tu ndo umeongea cha maana
 
Kwa hiyo huwapendi wanaume wote?

Hakuna mwanaume anatongoza bila picha ya dudu kichwani mwake? Kama yupo anyooshe mkono tumuone!

hiyo picha ya dudu lake abaki nayo kichwani kwanza..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…