How to social media -- Part 2

How to social media -- Part 2

Joined
Jun 26, 2015
Posts
55
Reaction score
62
Hello waungwana, let me tell you bout social media, au vip?

Oky I won't wait for your answer 😅.

Social media imekuja kuondoa mtu wakatikati. Au ww unaonaje, kwasbabu Sasa hivi mteja na biashara wote wapo Insta, Facebook etc. Wote wanauwezo was kupost, kucoment kushare etc.

Kwahio ni kama imekuja kuboresha uhusiano wa moja kwa moja Kati ya brands na Customer Au tuseme potential customers. Hakuna mtu hapo katikati eh!.

Lakini Bado brands zinafanya Mambo ya red tape hadi kwny Social media 🤦🏽‍♂️.

Ili ufaidi haya Mambo, lazima uingage na followers au watu waliopo kwenye mtandao huo, nenda kakoment share kama umeipenda post. I mean be part of the community.

Watu watakupenda, na unadhani watamfwata nan wakihitaji huduma kama yako? 😎

Sema MiMi.

Bye.
👇🏾👇🏾👇🏾
Hi video ya dakika moja,..

Nikimwelekeza Mkurugenzi wa taasisi flani kuhusu kupersonalize social media platform zake.

 
Back
Top Bottom