H Haika JF-Expert Member Joined Mar 3, 2008 Posts 2,347 Reaction score 562 May 29, 2012 #1 Habari zenu. Najua kuwa baadhi yenu mmeshajihusisha na Trust Funds za aina mbalimbali. Natamani kuanzisha ya kwangu, je nafuata steps gani.
Habari zenu. Najua kuwa baadhi yenu mmeshajihusisha na Trust Funds za aina mbalimbali. Natamani kuanzisha ya kwangu, je nafuata steps gani.
S Stoudemire JF-Expert Member Joined Mar 24, 2012 Posts 839 Reaction score 207 Jun 4, 2012 #2 Tuelezee kwanza Trust fund ni kitu gani?