How to start micro finance company

How to start micro finance company

kopuko

Senior Member
Joined
Oct 24, 2011
Posts
180
Reaction score
58
wakuu habarini,

msaada kwa mwenye info/utaratibu/vigezo na masharti vya kufungua microfinance

natanguliza shukurani!
 
Masharti na au vigezo vya kuwa na co. Ya microfinance

inatakiwa uwe na ofisi,

ujisajiri au uisajiri company yako brela,
uwe na tin, leseni pamoja na memorandum of article,
uwe na uwezo wa kifedha usiozidi m10 kwa ajili ya mwanzo wa biashara yako
upeleke fomu zako kwa mwanasheria akakague na kukuweka saini yake hasa hiyo
memorundum
na mengineyo

ngoja wakuu wakupe mengine ambayo mm nimesahau kidogo ila ya muhimu ni hayo

ukimaliza niite nije kukutengenezea memorandum, na documents za microfinance
vilevile vitabu vyako utakavyotumia kwenye ofisi yako mfano: Receipt bok, ledger book,
vitambulisho vya wafanyakazi wako, business cards, brochures, nk karibu kwa huduma hiiz
wakuu habarini,

msaada kwa mwenye info/utaratibu/vigezo na masharti vya kufungua microfinance

natanguliza shukurani!
 
Na kama huna mwanasheria mm ninaye mwanasheria atakusaidia kwa hili
karibu kwa huduma
wakuu habarini,

msaada kwa mwenye info/utaratibu/vigezo na masharti vya kufungua microfinance

natanguliza shukurani!
 
fanya niliyokwambia utafanikiwa

ila angalia tena hapa kuhusu maelekezo mengine kwani niliweka kidraft tu

USAJILI



WAWEZA SAJILI BRELA JINA LA KAMPUNI THEN LESENI YA KUOPARATE KWENYE WILAYA
HUSIKA UNAENDA MANISPAA KUIPATA



AMA WAWEZA SAJILI KAMA NGO


PIA KWA SMALL BRANCH ,STANDARD YAWEZA KUA NA MA LOAN OFFICERS WANNE 4 WAWEZA ANZA NA MTAJI WA MILIONI MIA 100,000,000 NA NI VEMA MAREJESHO YAKAWA WEEKLY KWA MICROFINANCE INAYOANZA ILI KUKONTROL VEMA INCOME


INCOME:

BASIC INCOME NI INTEREST pIA KUNA OTHERS INCOME KAMA ADMISSION FEE NA PROCESSING FEE

WAWEZA PATA INTEREST YA MIL 5 KILA MWEZI KWA MICROFINANCE INAYOANZA



NI VEMA KWA MICROFINANCE INAYOANZA UKAWEZA REJESHO MIEZI SITA ILI KUJIEVALUATE MAPEMA

KITU KINGINE NITAKUANDALIA PROPOSAL KAMA UTAKUWA FRESH TUONANE NIPM MKUU NITAKUSAIDA NA
KUHUSU MWANASHERIA USIJALI ATAKUSAIDIA KARIBU KWA HUDUMA





asante sana nitakaribia kwa msaada wa kisheria na asante kwa ufafanuzi ulio nipa mwanga
 
Back
Top Bottom