salaam wakuu. Nina dogo anakaribia 2
Anasumbuliwa sana na hilo swala nimejaribu kutafti kwenye website flani za afya wameshauri
1.Masturbtion na
2. To have sex mara kwa mara.
Kwa mm vyote no 1 na 2 hapana.
Sipendi ajihusishe na mapenz wala hiyo no1.
Nakaribisha ushauri niweze kumsaidia asiwe na mfadhaiko wa mara kwa mara inapomtokea.
Ahsanteni