Pole sana mkuu...wiki mbili zilizo pita niliibiwa modem ya Airtel...nikaenda ofisi kwao wakasema hawawezi kui-trace...niliambulia line tu...Tanzania bado sana kwenye haya mambo ya Technology, kama tuna shindwa ku-trace kitu kama modem au simu sijui tunaweza nini...Habari wana Jf, Nimelizwa computer na Moderm ya Vodacom, kuna jinsi yoyote ya kutrace moderm kwa kutumia IMEI au SERIAL ujue inatumika wapi? nimejaribu kupiga Voda customer care sijapata msaada wowote, nitashukuru sana kwa mawazo yenu
sijui kisheria likaaje...nakutakia mafanikio memami naamini inawezekaza. ngoja tuingie chimbo.
Voda ndo wangeweza kutrack au kuidisable. Kwa kuwa imeshaibiwa hakuna la kufanya, lakini ungeinstall software ya kutrack kabla kungekuwa na chance.
kwenye simu yangu ya nokia nime-install anti-theft application ambapo naweza ku-trace simu yangu mwenyewe bila kuhusisha mtandao wa simu! Tembelea Ovi Store (www.ovi.com kama sikosei) upate hiyo kitu!
Voda ndo wangeweza kutrack au kuidisable. Kwa kuwa imeshaibiwa hakuna la kufanya, lakini ungeinstall software ya kutrack kabla kungekuwa na chance.
Voda ndo wangeweza kutrack au kuidisable. Kwa kuwa imeshaibiwa hakuna la kufanya, lakini ungeinstall software ya kutrack kabla kungekuwa na chance.
hiyo application inaweza kutumika kwenye computer?