V visent Member Joined Oct 24, 2013 Posts 22 Reaction score 0 Apr 27, 2014 #1 wadau kuna tetesi eti ni lazima kila mwaka ua UPDATE MKOPO kwa wale waliopata ? kama ni ndio how can I do it. mi ni first year and sijui jinsi ya kufanya ivo so kwa anaejua tusaidiane
wadau kuna tetesi eti ni lazima kila mwaka ua UPDATE MKOPO kwa wale waliopata ? kama ni ndio how can I do it. mi ni first year and sijui jinsi ya kufanya ivo so kwa anaejua tusaidiane