How would you like to die?

mfilisti

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2015
Posts
3,641
Reaction score
19,279
Habarini wana jF
Huenda hii ika sound crazy kwa baadhi ya watu ila lengo haswa ni kujua je utapenda ufe kifo cha aina gani (sijamaanisha cha mende).

Kwa mfano

Wapo ambao watapenda wafe wakiwa usingizini.

Wapo wanaotaka wafe kwa kuchomwa sindano ya kifo (kuepuka mateso ya ugonjwa).nk

Je kifo gani ungependelea
 
Binafs sipendi kifo cha mateso,
Bora hata nikiwa nimelala ndo kimoja,
Usiku mwema wana jamvi kesho nikiamka salama nitakuja kutoa ushuhuda bado nadunda
 
Mi kuna design flani nimeapa sasa sijui itatokea hivyo. Dah so scary!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…