AmorePowers
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 700
- 1,142
EwaaKifo kizuri sana wit, yani naisubiri hiyo siku kwa hamu kubwaa!!
Usiogope kifo hata kidogo
Siku moja niliota ndoto ya maono, kwa sekunde sifuri nilipiga chabo peponi, sijawahi kuona uzuri na utukufu wa aina hiyo. Ama kweli duniani ni mateso, mimi nasubiri kifo kama ninavyosubiri X-mas na mwaka mpya. Lakini sio kila mtu ataenda peponi ila ni kulingana na matendo yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Swali lingine ni kuwa unajiaandaaje kukutana na kifo chako?
Kiveepe?
Haaaahaaaahaaa.....don't remind me that of bullshit yesterday[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Cluck Cluck hadi usiku mnene hatari sana
Afuu kuja pm fasta......simu yako no recharge mzee baba!Cluck Cluck hadi usiku mnene hatari sana
Haaaahaaaahaaa.....don't remind me that bullshit yesterday[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
But ilikuwa balaaa!
Nishafika kitamboAfuu kuja pm fasta......simu yako no recharge mzee baba!
Leo tena Jason? Utaniua asee....am gonna die oooooh[emoji15] [emoji15] [emoji15]That was a special TGTIF today is Maria Maria be full prepared life is too short..๐๐๐ Check in time ( ) Status Confirmed.
Done! I real appreciate my best!Nishafika kitambo
Sipendi kufa kifo cha aina yoyote ile,najua nitakufa ila sipendii
Wewe ni mjeda?Die in battlefield bullets all over ma body damn man wat a lovely death [emoji3545]die like man
A man of nightwatch ๐