chelsea fans,ushabiki usiwafanye mkawa vipofu,webb aliwabeba kipindi cha kwanza kwa kuwanyima man utd penati mbili za wazi na ilikuwa cahil apewe nyekundu...penati alizotoa zote hazina tatizo....ya evra ilikuwa clear kabisa,...ya pili kidogooo ilikuwa na utata lkn ni ngumu kwa refa kuona kila kitu,kama uliangalia game ya man city na fulham nadhani mliona jinsi johnson alivyo cheat na man city wakapewa penati
Kumbuka kuwa tunapiga kelele kwa kuwa tunaangalia mpira kwenye tv na tunaona kama timu haikutendewa haki mara pale wakiweka slow motion,zaidi ya hapo huwezi jua kama pale refa kakosea au laa
kumbuka kuwa hawa wachezaji wanacheza kwa kasi sana ndio maana wenzenu huku wanataka technology ya tv katika kuamua baadhi ya mambo kama ilivyo kwenye tennes