HOWO used au SCANIA used?

HOWO used au SCANIA used?

Justine Marack

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2014
Posts
612
Reaction score
1,698
Habari za leo wana JF.

Niko katika maandalizi ya kutafuta gari ya Mizigo kwa kazi Zangu za biashara ya mazao.

Biashara yangu ni kukusanya mazao toka maeneo ya vijijini maporini na sehem kama hizo Kisha kupeleka mikoani.

Kulingana na nature ya biashara hii, hulazimika kupita katika njia mbaya sana. Barabara za tope na mashimo mengi.

Maranyingi imekua ngumu kupata gari za kwenda maeneo hayo kunibebea mzigo. Hii imekua inafanya nishindwe kupangilia biashara yangu kwani nakosa uhakika wa kubebewa mzigo kwa wakati.

Nimefuatilia mada nyingi hasa ile mada ya HOWO vs Scania.

Mimevutiwa sana na HOWO kwa sifa zilizotolewa na wengi humu
Hofu yangu ni bajeti yangu na aina ya gari ninayotaka.

Bajeti yangu ni Milioni 60. Hapo nahitaji kupata complete Horse na trailer vyote used (Second hand).

Mada za HOWO na life span yake nimezielewa Sana, hasa wengi walizungumzia HOWO mpya na safari za Likasi na Kolwezi huko Congo.

Kwakua safari Zangu ni za hapa nchini na pamoja kuwa napita njia zenye vilima na mashimo, Nimevutiwa sana na sifa za HOWO.

Ninefikiria kutafuta hizo HOWO ambazo zimemaliza kutumika huko Congo ili namimi nikomae nazo kwenye Chaka za hapa ndani.

Muhimu zaidi nimelenga gari inayoweza kubeba mzigo mkubwa (Tani 30)ili kuokoa muda na gharama za kuingia huko maporini. Ningefikiria hata fuso tandam lakini sifa ya uwezo wa kubeba inaniweka zaidi kwa akina Scania na HOWO.

Natarajia kutakuwa na service za hapa na pale ili zikae sawa. Sasa kwanza naomba kukosolewa na kuelekezwa kulingana na bajeti yangu.

Tafadhali naomba kama mtu anajua namna Bora ya kufanikisha jambo langu, anipatie ushauri, sehem ya kupata gari ambazo hazijachoka sana na kadhalika.

Naomba kuwasilisha.
 
Ulijaribu kuzama Befoward ukaona kupo vp

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom