General8
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 996
- 862
Ok mkuu Nimekuelewa, Ni Scania ngapi umeshaona ziko juu ya mawe na Howo ngapi umeshaziona ziko juu ya mawe ?
SCANIA :JUU YA MAWE NYINGI
HOWO : JUU YA MAWE HAMNA KABISA .
MKUU ELEWA IT IS IMPOSSIBLE KUNUNUA KICHWA CHA SCANIA MPYA
LAKINI UWEZO WA KUNUNUA KICHWA CHA HOWO UPO KABISA NA UNAPATA WARRANTY MIAKA 4 ,SCANIA USED MKUU HAINA WARRANTY IKIFA NA KWISHA HABARI YAKO ,WARRANTY MIAKA 4 SI UMESHARUDISHA HELA YAKO MAN .Ni wazo tuu .
uwingi wa juu ya mawe wa Scania ni kwa sababu ya umri kuwepo sokoni, haimaanishi kwamba hazitengenezeki au spare bei ghali.
Howo hazina umri mrefu sokoni ndo maana huzioni nyingi juu ya nawe.
Scania yenye kilometer laki 6 ni sawa sawa na Howo jipya in terms of durability.
Howo huwezi ifananisha hata na Fuso