Howo Vs Scania

Tatizo gear lever ngumu kwa sababu inatumia mfumo wa cable tofauti na scania inatumia upepo (valve) halafu accelerater pedal ni ngumu tofauti na scania unagusa tu
Nahitaji kununua scania yenye Horse power ngapi please Kwa wanaojua please.
 
Kabla hujanunua tractor angalia kwanza unataka kutumia mazingira yapi hizo horse power si solution ya kukufanya ukimbilie kununua gari wengi wanasema Howo sababu moja tu inakuja mpya na ni 6x4 so kwenye rough road inafanya kazi vizuri kama tope au mchanga matajiri wengi wa kitanzia wananunua scania man volvo na brand nyingine za ulaya ambazo ni ex Uk zinakuja hapa tanzania na 6x2 ukichukua hizi gari mbili kwenye mazingira ya kitanzania lazima uone howo ipo ahead kama unataka ku enjoy brand za ulaya iveco scania man benz volvo ziwe ni 6x4 yaan nyuma difu zote mbili zinavuta ndiyo ufananishe na huyo howo. Gari za kchina zinafanya wengi wawe wagumba vina vibrate sana kama unaendesha tractor [emoji609].

Ukitaka ku enjoy nunua scania ex south ambazo ni 6x4 ingawa sijui unataka ifanye kazi mazingira yapi
 
Asante mkuu .
Ni kusafirisha conteiner za feet 20 na 40 feet mkuu ,only Dar to Arusha kaka ..
 
Asante mkuu .
Ni kusafirisha conteiner za feet 20 na 40 feet mkuu ,only Dar to Arusha kaka ..
Ningekuwa wewe ningeenda na scania mninga 113 360/380 spea zake mpaka sokoni unapata. Inakula vizur mafuta

Wengi hawajui kuwa Howo alimuiga hapa msweden akakopi vingine vimemshinda
 
Ningekuwa wewe ningeenda na scania mninga 113 360/380 spea zake mpaka sokoni unapata. Inakula vizur mafuta

Wengi hawajui kuwa Howo alimuiga hapa msweden akakopi vingine vimemshinda
Hazipo tena kwenye Soko UK broo nimetafuta hamnaga tena kaka
 
Hivi hizi HOWO zina nguvu ya kuvuta mzigo kweli au madereva wake huwa wanafanya mapozi wakati wanapanda milima ?maana huwa nazipita kama zimesimama barabarani...
Upande wa nguvu achana kabisa na wachina hakuna sehemu scania itapita howo ikwame, scanía inabaki kuwa bora kwenye durability, comfortability, etc

Achana na theory kama wewe ni dereva utakua ushashuhudia mara kadhaa scania inakwama lakini howo inapita nzima nzima kwenye njia mbovu but all in all scania ni bora zaidi ya howo.. Cha mwisho, mfukuze wa howo uone kama hujaomba zutu [emoji54][emoji54]
 
scania ndio truck ya pili qa kua na nguvu na bora ikiwa nyuma ya volvo ss unafananisha takataka howo na scania...
Wewe SINOTRUCK inayozalisha malori ya Howo ni patnership ya nnchi za EU pamoja na China. Gari inatengenezwa kwa viwango vya kimataifa ndio gari no. Moja kwa ubora sasa.
 
Gari za china zinatumia Cummins au Weichai engines....cummins engine is American brand so iko vinzuri. Sina uhakika na transmission/gear boxes

Hata Scania, Foden, Man, Caterpillar zinatumia Cummins. Ila Scania iko more comfortable kuliko Howo.
 
Hivi hizi HOWO zina nguvu ya kuvuta mzigo kweli au madereva wake huwa wanafanya mapozi wakati wanapanda milima ?maana huwa nazipita kama zimesimama barabarani...
Matajiri wanazipenda kwa kubana mafuta na yrahusi wa bei
 
Wewe SINOTRUCK inayozalisha malori ya Howo ni patnership ya nnchi za EU pamoja na China. Gari inatengenezwa kwa viwango vya kimataifa ndio gari no. Moja kwa ubora sasa.

unasema ni gari na1 qa ubora je ushawahi ona howo yenye 750hp kama volvo au scania R720??
 
Hapo umechemka mkuu scania ina miaka mingapi nchini?
Na howo ina miaka mingapi nchini?
 
Kama kuna MTU amewahi nenda ngaka Mbinga wanakochimba makaa ya mawe, utaona tipper za howo zilizopaki mbovu no nyingi kuliko gari yoyote ile, na wamehama kuzitumia wameanza kutumia fuso na scania
 
Kama kuna MTU amewahi nenda ngaka Mbinga wanakochimba makaa ya mawe, utaona tipper za howo zilizopaki mbovu no nyingi kuliko gari yoyote ile, na wamehama kuzitumia wameanza kutumia fuso na scania
Asante Kwa taarifa mkuu ,have a good day,
 
Benzi kama Ndege
 
Unanunua gari za China ambazo hats wao wenyewe kwenye big contraction companies zao hapa bongo hawatumii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…