Hoyce Temu kaanza mwaka vibaya

Hoyce Temu kaanza mwaka vibaya

mastori

Member
Joined
Dec 16, 2022
Posts
14
Reaction score
49
Huko mitandaoni kuna Pepa la Hoyce Temu kutoka UN, Watasha wameropoka mbaya, Nimeliona kwa Mange kimambi na kwa @tzshadeeroom_backup inasemekana mwakilishi wetu huko Geneva alikua anazipiga sana chapaa za UN na alikuwa anatumia vyeo vya watu kupenya na kupiga mpunga.

Yaani kwenye pepa ametajwa mdogo wake yule mtukanaji.

Dah UN wamemwaga ugali halafu huku sis ndio tumempa mboga apeleke huko Geneva kutuwakilisha kwa UN. Sasa sijui itakuaje?

Screenshots_2023-01-01-13-37-48.jpg
IMG-20230101-WA0159.jpg
 
Sasa unadhan kupiga hela za UNDP ni kitu cha mchezo mchezo? Hii ni sifa mojawapo kwamba lazima uwe na akili sana kupiga hela za wenye akili.

We kaa kumjadil hapa like u gain anything.

Mnaacha kuwajadil wanaowaibia pesa zenu za kodi za kujenga vyoo na madarasa unamjadil anayeiba pesa za wazungu ambazo si jasho lako
 
Huko mitandaoni kuna Pepa la Hoyce Temu kutoka UN, Watasha wameropoka mbaya, Nimeliona kwa Mange kimambi na kwa @tzshadeeroom...
Mimi simu yangu aioneshi picha ila najibu kulingana na komenti za watu mimi hapo nashauri uyo mtoto aliye fanyiwa icho kitendo akimbizwe hospitali na huyo mtuhumiwa akamatwe afungwe kifungo cha maisha mana ataendelea kuharibu watoto wengine kama watamuacha huru
 
Sasa unadhan kupiga hela za UNDP ni kitu cha mchezo mchezo? Hii ni sifa mojawapo kwamba lazima uwe na akili sana kupiga hela za wenye akili...
Unadhani kwanini watanzania tunajulikana kama wezi na wavivu? Ni kwa sababu ya kuwa na watu wa aina hiyo, kule wanasema mtanzania na anatuwakilisha watanzania kuwa ndio tabia yetu hiyo..

Sasa kama unaona ni jambo ambalo halina impact yoyote kwa taifa basi sawa
 
Mimi simu yangu aioneshi picha ila najibu kulingana na komenti za watu mimi hapo nashauri uyo mtoto aliye fanyiwa icho kitendo akimbizwe hospitali na huyo mtuhumiwa akamatwe afungwe kifungo cha maisha mana ataendelea kuharibu watoto wengine kama watamuacha huru
Comment ya aina hii huwa naona huko Facebook kumbe hadi huku zipo!
 
Huwezi ukampa mtu ubalozi aliekua Miss, hakuna Miss mwenye Akili, ila kwasababu Watanzania hatupendagi ukweli na tunataka Wajinga ndio hayo.

Yaani Kenya wapeleke former Miss kwenye UN kweli?? Ambapo ndio kitovu cha Dunia

Anakutana na watu waliosoma Harvad, MIT, Cambridge etc wewe unaenda kuongea nao nn
 
Back
Top Bottom