Mimi simu yangu aioneshi picha ila najibu kulingana na komenti za watu mimi hapo nashauri uyo mtoto aliye fanyiwa icho kitendo akimbizwe hospitali na huyo mtuhumiwa akamatwe afungwe kifungo cha maisha mana ataendelea kuharibu watoto wengine kama watamuacha huruHuko mitandaoni kuna Pepa la Hoyce Temu kutoka UN, Watasha wameropoka mbaya, Nimeliona kwa Mange kimambi na kwa @tzshadeeroom...
Unadhani kwanini watanzania tunajulikana kama wezi na wavivu? Ni kwa sababu ya kuwa na watu wa aina hiyo, kule wanasema mtanzania na anatuwakilisha watanzania kuwa ndio tabia yetu hiyo..Sasa unadhan kupiga hela za UNDP ni kitu cha mchezo mchezo? Hii ni sifa mojawapo kwamba lazima uwe na akili sana kupiga hela za wenye akili...
Comment ya aina hii huwa naona huko Facebook kumbe hadi huku zipo!Mimi simu yangu aioneshi picha ila najibu kulingana na komenti za watu mimi hapo nashauri uyo mtoto aliye fanyiwa icho kitendo akimbizwe hospitali na huyo mtuhumiwa akamatwe afungwe kifungo cha maisha mana ataendelea kuharibu watoto wengine kama watamuacha huru
Sasa unadhan kupiga hela za UNDP ni kitu cha mchezo mchezo? Hii ni sifa mojawapo kwamba lazima uwe na akili sana kupiga hela za wenye akil...
Shida sana aiseeComment ya aina hii huwa naona huko Facebook kumbe hadi huku zipo!
Labda iko magogoni..Jamani vetting system ya hii nchi iko wapi?