Hi Mwana
Katika Maelezo Yako Hujasema Kama Umewahi Kuifanyia Service Plotter Yako , Nakushauri Uifanyie Service Kwanza Tafuta Mjuzi Wa Masuala Hayo Akusaidie Kwahiyo Itaweza Kurudisha Printer Yako Katika Standard Inayofaa Zaidi .
Mara Nyingi Kuto Print Vizuri Kunasababishwa Na
1 ) Labda Wino Umeisha Au Umepungua ( Lakini Printer Nyingi Zina Oftware Maalumu Ya Kukuambia Kama Wino Umeisha Au Kama Wino Una Matatizo )
2 ) Au Ni Header Chafu Hiyo Huwa Inaonshwa Na Software Yenyewe Au Unaweza Kuamua Kubadilisha Na Kama Zinachomoka Unaweza Kutumia Alcohol Kuziosha Huku Ukiwa Na Contact Cleaner Spray .
Kumbuka Kama Huelewi Kitu Bora Uonane Na Wataalamu Usija Fanya Maajabu .
Kama Uko Tanzania Kuna Bmtl Pale Jamhuri , Kuna Moody Tech Morogoro Road , Kuna Kvd Indira Gandi , Nyezi Ambao Wapo Kariakoo .
Mchana Mwema