Asante kwa taarifa Hii, nimeishapata replacement πMkuu nina HP pavilion 360 Core7 10th Generation.
Touch screen, graphic and gaming computer, karibu PM
Asante sana mkuu, nitamtafuta angalau nikipata mtu anayehitaji. Nimeishapata mdau πMtafute ubepari pc - Insta.
Utashindwa wewe mkuu.
Nathamini ushirikiano wako na kuwa tayari ku-share taarifa muhimu. Nimepata mtu wa kurekebisha mashine inafanya kazi. However nitautunza uzi huu kwa wakati ujao πMchek huyu atakusaidia mkuu 0682202114