INAUZWA Hp for sale

lunduno

Member
Joined
Dec 22, 2014
Posts
94
Reaction score
29
Laptop aina ya hp inauzwa
Hard disk 1TB
Ram 8 GB
Processor core i7
Bei laki nane(800k)
[HASHTAG]#0675990776[/HASHTAG]
 
Kwa specifications hizo, hiyo laptop ni nzuri sana. Mimi huwa naogopa sana Crack. Hasa zinazotokana na laptop kuanguka kutoka umbali makubwa. Unaweza kuta mother board ndiyo imepata hitilafu. Hapo hata ukiwa fundi, huna ujanja .

Otherwise, kwa hiyo laptop na bei uliyotoa ni reasonable. Kwasababu ya mashaka ya wateja, unaweza tushushia kidogo
 
Mkuu biashara 2000 zimefungwa, kwa bei hiyo hata hiyo biashara yako ya hp itakuwa ya 2001 kufungwa.
 
Duh! Mzigo nimeukosa aisee! Nimefika dau la 400K wenzangu washagonga 600K! Ama kweli soko huria ni tamu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…