Hp laptop iko mnadani. Kweli nmeamini shida haina Adabu

luckWill

Member
Joined
Dec 21, 2015
Posts
34
Reaction score
96
Baada ya kuchapisha nyuzi kadhaa za kuomba ushauri na changamoto ninazo pitia kipindi hiki cha njaanuary, nmepokea maoni na sasa sina budi kuweka mnadani kifaa changu cha kazi niweze kutatua changamoto hizi naomba msaada wenu matajiri wa JF

-Hp Elitebook
-Ssd 256
-Ram 8
  • Graphics Processor: UHD Graphics 620
  • Processor: Core i5
  • Processor Family: 8th Generation
-Bado iko kwenye warranty ya mwaka mmoja
-Very slim
-Bei ya kuanzia 500,000
- Mawasiliano - 0750240240

 

Attachments

  • D265CFA3-B19E-4E96-A5D0-04C9A0D609F2.jpeg
    254.2 KB · Views: 5
Siku hizi kwenye specs za Pc hatuzingatii sana RAM

Tunazingatia processor gen na graphic

Ulitakiwa kuweka hizo specs kwenye tangazo lako ili kupunguza maswali kwa watu wenye interest.
 
acha kuaribu biashara ya mwenzio, fungua uzi wako
 
Bado ipo
 
350000/-
 
un
una EFD risiti uliyonunulia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…