Computer4Sale HP laptop inauzwa

Mr_S

Senior Member
Joined
Apr 2, 2022
Posts
108
Reaction score
89
Hp laptop inauzwa. Laptop imetumika lakini bado ipo kwenye hali nzuri sana.
-> Kioo kina ukubwa wa inchi 15
-> RAM ni 4GB
-> Hard disk yake ni 500GB
-> CPU ni duo core ya 1.6Ghz
-> Kipengele chake ni betri tu (betri imekufa lakini inapiga kazi freshi ikichomekwa waya wa kuchajia)
Kwa mawasiliano nicheki, simu/WhatsApp: +255 688 841884
 
Laki 1, Laki 2, Laki 3! Ahueni kipindi hicho niliwahi kumkamata mkulima fulani hivi huko kijijini PC ya aina hii, na ikiwa pia imekufa betri! kwa laki 2!

Kila la heri kwako.
Sijaelewa kitu unachojaribu kusema, kuniambia
 
Of couse bei inapungua lakini sio bei ya kopo. Hilo sio kopo, hiyo ni PC inayofanya kazi fresh. Kwanza ni slim na ya kisasa sio yale matofali yaliyojaa kariakoo.
 
Of couse bei inapungua lakini sio bei ya kopo. Hilo sio kopo, hiyo ni PC inayofanya kazi fresh. Kwanza ni slim na ya kisasa sio yale matofali yaliyojaa kariakoo.
OK mkuu kila LA kheri.
 
Wazee, price negotiable
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…