Ndove Member Joined Sep 23, 2020 Posts 15 Reaction score 16 Oct 25, 2022 #1 Je hii laptop wakuu ipo vizuri kuhimili Gaming, ubora wake ni upi na uthaifu wake ni upi? Kwa wanaofaham kuhusu mambo ya games kwenye pc. Kwa games za online (eg pubg) na offline pia.eg (far cry) na mengine.
Je hii laptop wakuu ipo vizuri kuhimili Gaming, ubora wake ni upi na uthaifu wake ni upi? Kwa wanaofaham kuhusu mambo ya games kwenye pc. Kwa games za online (eg pubg) na offline pia.eg (far cry) na mengine.
bolivia JF-Expert Member Joined Mar 3, 2021 Posts 3,083 Reaction score 5,179 Oct 25, 2022 #2 Kama una ela usijivunge chukua huo mzigo