SpecificationsHP pavilion 360°
RAM 4GB
ROM 128GB
Kwa specifications zaidi angalia pics
mapungufu iliyonayo :-
1.Betri aidumu na chaji
2.Screen imecrack kidogo hivyo screentouch haifanyi kazi eneo hilo
3.Mkono mmoja umeachia hivyo aizunguki 360° kamili (inarekebishika)
Nahitaji 380,000/=
Ipo Kigamboni
0764 966 340
Sasa hapo unauza computer au screpa? Acheni kuendekeza umaskini kitu umekifuja kiasi hicho bado unataka pesa?Fake IDs zinawapa sana confidence viazi kama wewe
Mpya ni bei gani na refurb ni bei gan!Vilivyoaribika vyote ni vya ziada, screentouch utatumia keyboard, rotation sio lazma, kama storage ni ndogo utatumia external ... kama ilivyo inatumika vizuri tu