HP PAVILION dv2000 SATA DRIVER

HP PAVILION dv2000 SATA DRIVER

ndekia1

Member
Joined
May 5, 2008
Posts
31
Reaction score
8
Habari wa JF
NaombenI Msaada wenu maana nimejaribu kutafuta SATA driver for HP Pavilion Dv2000 laptop.Maana naitaji kufanya Istallation ya XP.

Naomben msaada wenu


Rgds
Ndekia
 
Endelea kutafuta usichoke...Google nyenzo muhim sana kwa watafiti
 
Thanx Jamani Nimepata kupitia hp.com ila ni mpaka uiunganishe na kwa kutumia nlite.
 
Back
Top Bottom