thikness yake hebu piga picha kwa upande
Bado zipo
Core I ngapi hizoHP probook 4530s
Intel core i3 2310m @ 2.10Ghz
8gb ram DDR3L 1600mhz
750 GB HDD 7200rpm
Intel HD graphics 3000 1.7gb shared
Display 15.6"
4hrs battery
Ni nzima kila idara inafanya kazi 100%
Bei tzs 285000/=
LocatIon MAKUMBUSHO BUS STAND DSM
Contact 0620552992
View attachment 1460107
Sinaga mambo hayo angalia thread zangu za nyuma utagundua kitu na na kingne PC ni used sasa unataka niuze bei sawa na mpya hivyo inakuwa ngumu lazima uuze bei nzuri ili maisha yawe simple mzee pia ukianalia picha zote napiga location 1 sio janja janja na PC ikiwa na shida ndogondogo huwa nasema ina tabu ganiIpo ama zipo?
Ukiachana na hiyo generation yake, specification zake nyingine zinaifanya hiyo bei yake tuhusi ni mambo ya wale matapeli wa Zanzibari, otherwise ataeipata amepata chombo kizuri kwa bei chee.