Keagan Paul
JF-Expert Member
- Jul 19, 2018
- 519
- 3,195
We ni mtoto wa daudi bashite?!Habari zenu Wakuu.
Anahitajika HR aliyepo dodoma, mwenye uzoefu wa kufanya kazi Kiwandani.
Tuma CV yako kwenye Email hrfbde@gmail.com
Kuna jamaa yangu amekutumia CV,kazi kwako MkuuHabari zenu Wakuu.
Anahitajika HR aliyepo dodoma, mwenye uzoefu wa kufanya kazi Kiwandani.
Tuma CV yako kwenye Email hrfbde@gmail.com
Bado tupo kwenye uchambuzi wa cv zilizotufikia mana n nyingi sana pamoja na ya huyo jamaa hapo juu anayetaka mshahara wa 3M japokuwa mshahara halisi ni laki mbili unusu ila amesema yupo tayari kufanya kazi kwa moyo mkunjufu kabisa 😎Leteni mrejesho basi Wakuu mbona kmy tena?