HR wa Tanzania mna mengi yakujifunza kwa huu ujumbe

Kidagaa kimemwozea

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
3,680
Reaction score
6,554
Sitaandika mambo mengi lakini ujumbe huu unaweza kuwafanya bora zaidi. Cheki huu ujumbe ambao huyu dogo katumiwa baada ya maombi yake ya kazi kutokukubaliwa

"Hi XXX

"Thanks a ton for applying for the role with XXXGroup!

While we won't be moving forward with your application this time, we want you to know that we thought you're awesome!

We genuinely appreciate your interest and the effort you put in. Keep shining bright, and who knows? Our paths might cross again in the future!

Wishing you all the best on your journey.

Talent Acquisition at XXX Group"

Huu niuungwana mkubwa sana.
 
Sitaandika mambo mengi lakini ujumbe huu unaweza kuwafanya bora zaidi . Cheki huu ujumbe ambao huyu dogo katumiwa baada ya maombi yake ya kazi kutokukubaliwa

" Hi XXX
"Thanks a ton for applying for the role with XXXGroup! 🚀
While we won't be moving forward with your application this time, we want you to know that we thought you're awesome!
We genuinely appreciate your interest and the effort you put in. Keep shining bright, and who knows? Our paths might cross again in the future!
Wishing you all the best on your journey,
Talent Acquisition at XXX Group"

Huu niuungwana mkubwa sana 🤣
Hakuna cha uungwana dogo
..."ukiitajika utaitwa" tumemaliza.
 
Sitaandika mambo mengi lakini ujumbe huu unaweza kuwafanya bora zaidi . Cheki huu ujumbe ambao huyu dogo katumiwa baada ya maombi yake ya kazi kutokukubaliwa

" Hi XXX
"Thanks a ton for applying for the role with XXXGroup! 🚀
While we won't be moving forward with your application this time, we want you to know that we thought you're awesome!
We genuinely appreciate your interest and the effort you put in. Keep shining bright, and who knows? Our paths might cross again in the future!
Wishing you all the best on your journey,
Talent Acquisition at XXX Group"

Huu niuungwana mkubwa sana 🤣
Leta na ya Tanzania tuone
 
Back
Top Bottom