Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Hakika mkuuHakika, Uungwana ni Vitendo
HahaUtasikia hautufai.
Nimeyaona Jana tu mtu kukupa tu karatasi yako anafanya kama ni ya mamake.Haha
Hakuna cha uungwana dogoSitaandika mambo mengi lakini ujumbe huu unaweza kuwafanya bora zaidi . Cheki huu ujumbe ambao huyu dogo katumiwa baada ya maombi yake ya kazi kutokukubaliwa
" Hi XXX
"Thanks a ton for applying for the role with XXXGroup! π
While we won't be moving forward with your application this time, we want you to know that we thought you're awesome!
We genuinely appreciate your interest and the effort you put in. Keep shining bright, and who knows? Our paths might cross again in the future!
Wishing you all the best on your journey,
Talent Acquisition at XXX Group"
Huu niuungwana mkubwa sana π€£
Leta na ya Tanzania tuoneSitaandika mambo mengi lakini ujumbe huu unaweza kuwafanya bora zaidi . Cheki huu ujumbe ambao huyu dogo katumiwa baada ya maombi yake ya kazi kutokukubaliwa
" Hi XXX
"Thanks a ton for applying for the role with XXXGroup! π
While we won't be moving forward with your application this time, we want you to know that we thought you're awesome!
We genuinely appreciate your interest and the effort you put in. Keep shining bright, and who knows? Our paths might cross again in the future!
Wishing you all the best on your journey,
Talent Acquisition at XXX Group"
Huu niuungwana mkubwa sana π€£
Wengi ndio hivyo.kuna mengine hata hayakwambii chochote yanakaa kimya
We regret (Yaani wanajuuuutaaaa kukuita kwenye intavyuuu) HahahahahahaUtasikia hautufai.
ππTutakupigia...