HSC Kuishitaki Dira ya Mtanzania

Acha Uvivu

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2011
Posts
524
Reaction score
131
Ile kampuni ya Home Shopping Center inayohusishwa na familia ya rais wa Tanzania JK na pia kutuhumiwa kwamba hailipi kodi inapoingiza bidhaa nchini imelipeleka gazeti la Dira la Mtanzania mahakamani.
Habari imeandikwa na gazeti la Tanzania Daima la leo tar.27 Mei kama tangazo ambapo kampuni hiyo imesema inaenda kudai haki mahakamani kwa kuidhalilisha mbele ya wateja wake na jamii kwa ujumla.
My take, je hiyo kampuni ya Home Shopping Center haioni kuwa kwa kufanya hivo itakuwa inajichafua zaidi na kwamba hao waandishi wanaweza wakawa na ushahidi wa kuipoteza kabisa kwenye ramani na ukiangalia vuguvugu la mabadiliko la sasa? Na kwamba inaweza ikamchafua zaidi JK?
 
HSC inawezekana kuna ukweli waende tu kwa pilato wanawatisha nini hao Dira ya Mtanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…