Hsebl tukumbukeni tulio appeal jamani

usain 10

Member
Joined
Oct 26, 2013
Posts
8
Reaction score
1
Kama kuna mwenye taarifa kuhusu wale walio appeal atuambie ule mchakato wa kuappeal umefikia wapi maisha ya chuo bila mkopo ni magumu sana
 
Hivi vyuo vikuu skuiz wasomi ni Div 5 tuuu...
Bodi y mikopo inaitwa HESLB sio hio yako 😡
 
Dah mm ndio nimekata tamaa kabisa nao mwaka huu , wanaringa utadhani hizo hela wanatoa mifukoni mwao , wanataka hadi tuwapigie magoti ha!
 
Duh ahsante kwa kuliona hilo mana mi mwenyewe nilikua natafakari hicho alichokiandika ni nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…