Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona game inachezwa asubuhi hii
Brazil 2,Firmino. Messi QUOTE]Hhahahah
Huyu nyundo wa barca vipi
Haka katoto kananifurahishaga sana
Tofauti za muda mkuu !!Mbona game inachezwa asubuhi hii
Game nani anacheza fresh nipe analysis kidogo mkuu wangu2-0 Brazil [emoji1054]
[emoji28][emoji28][emoji28]Naona Alisson kishazijulia faulo za Messi. Ila Argentina wanashambulia. Wanaweza sawazisha aisee.
Leo katalia sana wakifungwa,wajitahidi wasawazishe na washinde.[emoji28][emoji28][emoji28]
Katazira tena kucheza timu ya taifa hadi wakabembeleze
Egypt nao mtasema hivyo hivyo.Brazil wa kawaida sana Home advantage inawasaidia tu