http://www.tcu.go.tz/... MBONA HAIFUNGUKI TANGU LAST WEEK!!!

http://www.tcu.go.tz/... MBONA HAIFUNGUKI TANGU LAST WEEK!!!

Kottler Masoko

Senior Member
Joined
May 28, 2010
Posts
193
Reaction score
28
Wadau hiyo web ya TCU kimeo nini, tangu waseme udahili unaanza April 1st na web yao CHALIII!!!
Niaje hawa jombaaa,mbona kama hawapo serious????
 
Toka lini watanzania tukawa serious na mambo ya msingi?
 
Wadau hiyo web ya TCU kimeo nini, tangu waseme udahili unaanza April 1st na web yao CHALIII!!!
Niaje hawa jombaaa,mbona kama hawapo serious????

Siku ya ufunguzi jamaa walidai kuwa huo ndio mfumo-mtandao (web application) ya kwanza ya aina yake East and Central Africa. We acha tu Bwana!
 
Kwenye computer mbona inafunguka kama kawaida.
 
Kwenye computer mbona inafunguka kama kawaida.

Hebu copy hiyo link hapa basi mdau, maana bado inasumbua tu, nimejaribu kugoogle, inaleta link zote but hazifunguki kabisa, na nimejaribu pia kupiga simu zao na hawapokei.
hii nchi jamani cjui aje nani atukomboe ki-Fikra!!!
 
Wadau hiyo web ya TCU kimeo nini, tangu waseme udahili unaanza April 1st na web yao CHALIII!!!
Niaje hawa jombaaa,mbona kama hawapo serious????

ni kweli kabisa,ila wameshaachia toka jana,ukifungua inakubali na wameweka news za kuanza kuapply.Jaribu hata sasa hv inakubali.
 
Back
Top Bottom