https://www.standardmedia.co.ke/business/article/2001304164/debt-load-sees-treasury-turn-to-regional-bank-for-rescue

Kusamehewa ndio wana ringa hahahahahahahaha LDC!!!!!!!! nilifikiria tractor alisema pesa ipo?????? kumbe hakuna hahahahahahaha
 
World Bank bad debts starts to hurt banks in Tanzania

MONDAY NOVEMBER 12 2018



hahahahahahahahahaha deni hamuwezi no wonder muliomba zi fungwe!!!! Tractor alidanganya pesa iko... kumbe hakuna... iliishia 777 na korosho
 
Hahaha, unaleta habari ya dili iliyofanyika 2006 ! Wakati Kenya ilikua Low income Country! Tuliingia Lower Middle income 2014 ... Hakuna kusamehewa madeni tena ukishsingia middle income..... (Tena ukiañgalia Hilo deni la $46m tulilosamehewa na Italy ilikua ni debt conversion, walitusamehe ili tuongee Kwa meza kuhusu eviction, hawakutusamehe kwasababu ya uwezo wetu wa kiunchumi... Unlike Tz mnasamehewa kwasababu mnachukua mda mrefu au kushindwa kulipwa..)


Wakati Tz bado iko ndani ya LDC, Yani maskini hohehahe, ukimkopesha usitarajie kulipwa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…