son of king john2
Senior Member
- Jan 11, 2014
- 131
- 33
Inashangaza kwa Mhadhiri wa chuo kikuu ambaye kila siku anakuja darasan na kuanza kufundisha haraka haraka tena kwa kasi za ajabu......yaaani anasoma kwenye kitabu(densa) kisha baada ya hapo ni mwenye spidi ndo ataelewa kwa kuwa atakuwa amenakili kilichosemwa.ila utashangaa siku ya mtihani. Yan hiyo siku utakuta anakuja on time.Ingia kwenye mtihani yami utakuta misamiati iliyotumika ni ya ajabu hata yeye hakuwai kuitumia...swali hapa ni je mtu anapimwa kwa kuulizwa alichosoma au anapimwa kwa kufumbua misamiati anayoijua mwalimu......??