Huanziaga utotoni

Rungu

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2007
Posts
3,932
Reaction score
1,726
Hii video ina majotro

Kukatika, malavidavi na kunengua huanziaga utotoni!


 
Last edited by a moderator:
mhh wazazi tunaleaje watoto jamani....kha nimechoka kabisa!
 
My God, huenda huyo binti wazazi hawajui anachokifanya huko.... Oh God help us
 
Tusijifanye tunashangaa. Haya mambo yako na yamo mijini mwetu. Kwakuwa hii iko wazi ndio tuna shangaa?. Malezi yamepotea.
 
moja ya madhara ya utandawazi hayo,
watoto waa sasa hawajui ile michezo tuliyokuwa tunaicheza sisi utotoni kama rede na mingine kutwa nzima wao na tv na hayo ndo matokeo yake
 
Kaaazi kweli kweli....bora hata wangekua wanacheza ngoma!!
 
hata Mickel Jackson alianziaga hukuhuku
 
Jamani hiki ni kitu gani. Huyu mtoto na jamii inayomzunguka inatakiwa ikemewe kwa kuruhusu jambo hili tena ukizingatia akizungukwa na watoto wengine wakiangalia anayo yafanya hadharani.
 
Lol! hawa watoto wana wazazi kweli?? hebu ona huyo hapo pembeni anavyochekelea?? jamani wee??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…