Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Wakuu.
Tulioana juzi kati kwenye Malaysia Auto Show kampuni kutoka China Aion ambayo ni tawi la CAG wamezindua Aion Hyper HT SUV gari linalofanana na Tesla Model X.
Wachina bwana: Wameiiga Tesla Model X kwa robo bei
Sasa vita bado haijaisha.
Kampuni la technology Huawei kwa kushirikiana na kampuni la magari Chery nao wamemletea Tesla Model Y mshindani wake, Luxeed S9.
Hii ni compact SUV itakayokua na battery options tatu (62kWh, 82kWh na 100kWh)! Na battery zote zinatoka kwa suppliers tofauti tofauti na zote zina technology tofauti tofauti.
Na bei za hizi EV zitakua na range kuanzia $42,000 hadi $55,000.
Vita vya EV vinaendelea.
Kwa walioisahau Tesla Model Y picha hii hapa: