Huawei haina mpinzani mwaka ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฎ๐Ÿฐ

Huawei haina mpinzani mwaka ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฎ๐Ÿฐ

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
620
Reaction score
1,240
๐—›๐—จ๐—”๐—ช๐—˜๐—œ ๐—›๐—”๐—ก๐—” ๐— ๐—ฃ๐—œ๐—ก๐—ญ๐—”๐—ก๐—œ ๐— ๐—ช๐—”๐—ž๐—” ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฎ๐Ÿฐ

Copy of Copy of Copy of Copy of Copy of Copy of Copy of Copy of Copy of Cop_20241129_092143_0000.png


Kampuni ya Huawei wametangaza kuachia simu zao mpya mbili aina ya 70 series na Mate X6 siku ya tarehe 26 novemba mwaka 2024.

3_20241129_092043_0002.png


Hii ndo simu Bora kwa mwaka huu 2024 maana sio ya mchezo mchezo...!!, Kuna feature iko ndani ambayo inakupa uwezo wa kuhamisha file toka simu Moja kwenda nyingine bila kugusa simu yako yani kwa Ishara tu unachukua โœŠ unapeleka sehemu nyingine๐ŸคŒ na kurusha pa! Bila kugusa simu ๐Ÿ‘‹.

Zote zinatumia mfumo wa HarmonyOs Next,
kupitia tovuti ya Weibo Huawei waliweza ku post video short clip inayoonyesha maajabu ya hii simu.

Kumbuka:
โ€ข kamera yake ni 50mp + 12mp periscope telephoto sensor na 40mp ya ultra wide yenye kutoa picha Kali usiseme.
โ€ข imekuja na 66W na 100W ya fast charge yenye kuchaji faster ndani ya muda mfupi dakika 15 simu imejaa.

Unaweza sogeza picha kuona tafadhari.๐ŸคŒ
 
Kwamba kuhamisha file bila kugusa ?!!! Kwanini nisiguse.., Kuna features nyingine basi ni ni marketing stunt lakini hazina any significance...
 
Back
Top Bottom