Huawei Mate 7 ya kichina

Mu-sir

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Posts
3,621
Reaction score
1,636
Wakuu leo nimenunua simu Huawei Ascend Mate 7. kumbe ina OS ya Kichina haina hata Google play store japo inafunction vizuri kwa baadhi ya basic apps za simu

Yaani kiufupi nimepigwa. Sasa je naweza badili hii ROM Na kuweka ya Europe?? Naamini humu yote yanawezekana.
Au niende wapi nikatatue hili tatizo?

Natanguliza shukrani.
 
Download play store Google kwa kutumia browser utafaidi sana mi nilikuwa nayo toka 2014 ilizingua mwezi juni nikapeleka kkoo nikakosa fundi anaileiweza ilikuwa inawaka ila haifiki mwisho so kwa hio miaka karibu minne nmewakubali Huawei, simu zao ni kali nikilinganisha na tecno, sumsung, HTC, nilizotumia kabla
 
Ingia store ya hio simu kisha search google ama playstore utaona itakuja, inaweza kuja kichina hivyo angalia icon ya playstore kisha install. Iache irun kama itataka kudownload vitu ikubalie, playstore itaingia kwenye simu.
 
Msaada mkuu.. Nimeroot simu ya tecno spark k8 imeishia hapa.. Msaada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…