Huawei smartphone ina both touch screen na buttons(slide keyboard) for sale 250,000

IrDA

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2010
Posts
745
Reaction score
361
Nauza simu aina ya HUAWEI U8867Z used for 2 weeks.Itawafaa sana wale wanaopenda kutumia butttons kwenye kuandika message na pia wanapenda a large touch screen.


Features zake:
Display:TFT capacitive touchscreen, 16M colors
Network: HSPA/UMTS/GPRS/GSM/EDGE
Camera: 5MP
OS: Android 2.3
Battery: 2000mAh
RAM: 1GB
Storage: 1GB internal,supports SD card
Others: WiFI(supports Wifi hotspot),Bluetooth 3.0,PC sychronization,Accelerometer, gyro, proximity, compass
Physical qwerty keyboard.

Bei 250,000...Mawasiliano 0659220493
 
Mbna bei kaa kubwa sana iyo os 2.-- ni ya zaman sana aisee,wtu wapo Os 4--
 
Hiyo bei ni kubwa sana for such an outdated phone...

With the same amount unaweza kupata Huawei phone iliyo poa zaidi na mpya...

Unaweza pata zile series za Y i.e Y200, Y220D, Y330, Y530 pia hata G510
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…