Huawei Y7 Prime (2019) vs Samsung A10s (2019) vs Samsung A600FN (2018)

Philipo D. Ruzige

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2015
Posts
9,428
Reaction score
27,096
Hello JF.

Wazoefu zaidi yangu naomba ushauri ipi ni simu sahihi kuchukua hapo kati ya hizo tatu. Huawei Y7 Prime (2019) vs Samsung A10s (2019) vs Samsung A600FN (2018)

Price: Zote napata kwa bei moja ya 220000/= (Used , import from Dubai). Zote storage ni 32GB. Condition: Clean as new

Cc. Mwl.RCT, kcamp, Chief-Mkwawa na wengine wote.

Kwa wale wa Tecno, Infinix, Itel, gome etc, nashukuru kwa mchango wenu.
 
Hizo simu zimetofautiana vitu vichache..ila overall A600 naona iko vizur
 
Vipi upande wa camera maana hizo hizi nyingine zina 2mp depth sensor , je sio bora zaidi? Msaada tafadhali
 
Hello JF.

Wazoefu zaidi yangu naomba ushauri ipi ni simu sahihi kuchukua hapo kati ya hizo tatu. Huawei Y7 Prime (2019) vs Samsung A10s (2019) vs Samsung A600FN (2018)

Price: Zote napata kwa bei moja ya 220000/= (Used , import from Dubai). Zote storage ni 32GB. Condition: Clean as new

Cc. Mwl.RCT, kcamp, Chief-Mkwawa na wengine wote.

Kwa wale wa Tecno, Infinix, Itel, gome etc, nashukuru kwa mchango wenu.
Mkuu nipe connection na mimi nikihitaji mojawapo kwa iyo bei!.
 
Upo mkoa gani?, mimi naagiza kwa mshikaji Tanga, nilipewa of tu kwa kujuana (one time offer). Kama upo dar kesho tuonane nikufanyie mchakato at least kwa kumwambia nataka nimchukulie na ndugu.
 
Kwa mtu unayejifanya unajua sana analysis ya simu sikutegemea uje kuuliza swali cheap kama hili[emoji23]

Wewe sema unatupa taarifa tuu kwamba unanunua simu mpya.

Ndio mana nikasema walionizidi ujuzi. Kiukweli nina imani wapo walionizidi ujuzi pia napendaga kupata user experience pia hizi simu zipo na specs zinazoendana endana.
 
Unajua kweny simu mkuu.. huwez kuta simu moja iko vizur kweny kila angle,ndio mana nikaangalia angle tofaut tofaut nikaona hiyo itakua poa sana...vitu kama display, processor,sound tech etc

Sasa inabid ujue ww unataka kipi haswaa..sasa basi naamini huwezi kutoa boko[emoji2]

Back
Top Bottom