Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,428
- 27,096
Vipi upande wa camera maana hizo hizi nyingine zina 2mp depth sensor , je sio bora zaidi? Msaada tafadhaliHizo simu zimetofautiana vitu vichache..ila overall A600 naona iko vizur
Mkuu nipe connection na mimi nikihitaji mojawapo kwa iyo bei!.Hello JF.
Wazoefu zaidi yangu naomba ushauri ipi ni simu sahihi kuchukua hapo kati ya hizo tatu. Huawei Y7 Prime (2019) vs Samsung A10s (2019) vs Samsung A600FN (2018)
Price: Zote napata kwa bei moja ya 220000/= (Used , import from Dubai). Zote storage ni 32GB. Condition: Clean as new
Cc. Mwl.RCT, kcamp, Chief-Mkwawa na wengine wote.
Kwa wale wa Tecno, Infinix, Itel, gome etc, nashukuru kwa mchango wenu.
Swali mujarabuMkuu nipe connection na mimi nikihitaji mojawapo kwa iyo bei!.
Upo mkoa gani?, mimi naagiza kwa mshikaji Tanga, nilipewa of tu kwa kujuana (one time offer). Kama upo dar kesho tuonane nikufanyie mchakato at least kwa kumwambia nataka nimchukulie na ndugu.Mkuu nipe connection na mimi nikihitaji mojawapo kwa iyo bei!.
Madam we nakupigia muda si mrefu tubonge.Na mimi unipe connection we philipo
Ndio mana nikasema walionizidi ujuzi. Kiukweli nina imani wapo walionizidi ujuzi pia napendaga kupata user experience pia hizi simu zipo na specs zinazoendana endana.Kwa mtu unayejifanya unajua sana analysis ya simu sikutegemea uje kuuliza swali cheap kama hili[emoji23]
Wewe sema unatupa taarifa tuu kwamba unanunua simu mpya.
Tecno Mobile ndani ya GSM Arena
Hello Techs, Naona sasa ule ubishi wa kiwango cha ubora wa simu za TECNO kinaelekea mwisho. Uliwahi anzishwa uzi humu, watu fulani wakakomaa kuwa simu za Tecno hazipo GSM ARENA hivyo hazina ubora wa kuuzika ulaya. USA etc. Sasa GSM ARENA wameziweka rasmi simu za TECNO , je mna jipya...www.jamiiforums.com
Madam we nakupigia muda si mrefu tubonge.
Vipi upande wa camera maana hizo hizi nyingine zina 2mp depth sensor , je sio bora zaidi? Msaada tafadhali