Vien
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 6,585
- 10,363
Binafsi mimi ni mzalendo na nnapenda sana kufuatilia tamthilia za hapa bongo mara moja moja pindi nkipata nafasi nkiwa home,
Kuna hii Huba series inayorushwa DSTV (Maisha Magic bongo) ni ya muda mrefu sana, na imepewa airtime week nzima kuanzia J3 - Ijumaa, Hii series mwanzoni iliteka sana mashabiki wanaopenda kuangalia tamthilia za bongo, ila siku za hivi karibuni imepoteza mvuto kwa kiasi kikubwa kutokana na aina ya story zisizo na uhalisia katika maisha ya kawaida ambazo wanazitengeneza lengo ikiwa ni kuvuta muda series izidi kuonekana ndefu.
Kwanza kitu kinachonshangaza kule ndani kutokana na story yao, kila mtu amesha date na kila mtu kule ndani
Mfano
Kibibi, ameshatoka na Davy,Chidi na Fabrizo
Tima, ameshatoka na Davy, Jude na Jay B
Nelly,ameshatoka na Davy na Abby
Happy, ameshatoka na Chidi na JB
Nikole, ameshatoka na Kashaulo, Davy, Jude na Jb
Tesa, ameshatoka na Kashaulo na Roy (ambae ni mwanaye)
Monica, ashatoka na Fabrizo
Sidi, ameshatoka na Kashaulo na JB
Sasa kutokana na huu muingiliano wa hawa watu, series inakosa muelekeo na mvuto kabisa
Au wakuu mnasemaje 😃😃😃😃😃